Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Agathon Rwassa ataka serikali ya umoja wa kitaifa nchini Burundi

Sauti 09:59
Kiongozi wa upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa
Kiongozi wa upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa REUTERS/Thomas Mukoya

Kiongozi wa upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa ametaka iundwe serikali ya umoja wa kitaifa nchini Burundi kabla hajatangazwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la Burundi hatua ambayo imezua mijadala mikali ya kisiasa. Makala ya Wimbi la Siasa inakudadavulia kwa kina hali ya mambo nchini Burundi na Victor Robert Wile........

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.