Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Maandamano ya Nchi ya Iran na amna Mataifa ya Magharibi Yalivyo na Mkono

Sauti 09:52
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves le Drian, akiwa na mwenzake wa Ujerumani Sigmar Gabriel, Waziri wa Uingereza Boris Johnsonet na mkuu wa Sera za Mambo ya Nje Federica Mogherini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves le Drian, akiwa na mwenzake wa Ujerumani Sigmar Gabriel, Waziri wa Uingereza Boris Johnsonet na mkuu wa Sera za Mambo ya Nje Federica Mogherini REUTERS/Francois Lenoir

Makala ya Wimbi la Siasa Juma Hili Inaangazia Hali ya Kisiasa Nchini Iran Ambayo Kwa Majuma Kadhaa Imeshuhudia Maandamano ya Wananchi Wakipinga Hali Ngumu ya Maisha. Hata Hivyo Juma Hili Pia Wafuasi Wanaoiunga Mkono Serikali Nao Walifanya Maandamano Kuonesha uungaji Mkono Wao Kwa Serikali.Nini Hatma ya Siasa ya Nchi ya Iran? Ni Kweli Nchi za Magharibi Zina Mkono na Vurugu Zilizoshuhudiwa Iran?

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.