Pata taarifa kuu

RFI Katuni za Meddy

DR-Congo: Vurugu katika bunge la kitaifa nchini DRC zakati za kura ya kumuondoa naibu spika. 27/05/2020
DR-Congo: Vurugu katika bunge la kitaifa nchini DRC zakati za kura ya kumuondoa naibu spika. 27/05/2020 Dr Meddy/RFI

Katuni hizi zinaashiria yale yanayoendelea kushuhudiwa ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kinyume cha sheria mwandishi wa habari wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon Ahmed Abba.

Matangazo ya kibiashara
DR-Congo: Vurugu katika bunge la kitaifa nchini DRC zakati za kura ya kumuondoa naibu spika. 27/05/2020
DR-Congo: Vurugu katika bunge la kitaifa nchini DRC zakati za kura ya kumuondoa naibu spika. 27/05/2020 Dr Meddy/RFI

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, kuza kiongoji wa juu wa nchi hata baada ya kukabidhi madaraka. 21/05/2020
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, kuza kiongoji wa juu wa nchi hata baada ya kukabidhi madaraka. 21/05/2020 Dr Meddy/RFI

Vital Kamerhe, afisa mwandamizi katika ikulu ya rais Felix Tshisekedi, akabiliwa na mashitaka ya rushwa (15/05/2020)
Vital Kamerhe, afisa mwandamizi katika ikulu ya rais Felix Tshisekedi, akabiliwa na mashitaka ya rushwa (15/05/2020) RFI

Covid19: Rais wa Marekani, Donald Trump anailaumu China kwa kuwa chanzo cha kuenea kwa Corona duniani  (06/05/2020)
Covid19: Rais wa Marekani, Donald Trump anailaumu China kwa kuwa chanzo cha kuenea kwa Corona duniani  (06/05/2020) © RFI

Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amewakosoa wabunge wa nchi hiyo kwa kujielekezea fedha ambazo zingeweza kutumika katika vita ya Corona 30/04/2020
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amewakosoa wabunge wa nchi hiyo kwa kujielekezea fedha ambazo zingeweza kutumika katika vita ya Corona 30/04/2020 © RFI

Virusi vya Corona: Bei ya mafuta yaendelea kushuka. 23/04/2020
Virusi vya Corona: Bei ya mafuta yaendelea kushuka. 23/04/2020 Dr Meddy/RFI

COVID-19: Rais wa Marekani Donald Trump asitisha msaada wa kifedha kwa shirika la Afya Duniani, WHO. Ni mfadhili mkuu kwa kutoa ufaadhili wa asilimia 17 (15/04/2020).
COVID-19: Rais wa Marekani Donald Trump asitisha msaada wa kifedha kwa shirika la Afya Duniani, WHO. Ni mfadhili mkuu kwa kutoa ufaadhili wa asilimia 17 (15/04/2020). © RFI

Virusi vya Corona: Afrika haitaki kuwa nguruwe wa majaribio ya chanjo dhidi ya virusi. 09/04/2020
Virusi vya Corona: Afrika haitaki kuwa nguruwe wa majaribio ya chanjo dhidi ya virusi. 09/04/2020 Dr Meddy/RFI

COVID-19: Robo tatu ya watu duniani wamezuiwa kutoka majumbani kwao, lengo likiwa ni kuzuia kuenea kwa Virusi vya Corona. 2/04/2020
COVID-19: Robo tatu ya watu duniani wamezuiwa kutoka majumbani kwao, lengo likiwa ni kuzuia kuenea kwa Virusi vya Corona. 2/04/2020 Dr Meddy/RFI

WHO, Serikali, Madaktari, wanatoa wito kwa wananchi kusalia majumbani, osha mikono kujinga na Corona. 26.03.2020
WHO, Serikali, Madaktari, wanatoa wito kwa wananchi kusalia majumbani, osha mikono kujinga na Corona. 26.03.2020 Dr Meddy/RFI

Coronavirus: Wakati maambukizi yakipungua China, idadi ya maambukizi inaongezeka Marekani. 20/03/2020
Coronavirus: Wakati maambukizi yakipungua China, idadi ya maambukizi inaongezeka Marekani. 20/03/2020 Dr Meddy/RFI

Mzozo wa mafuta: Saudi Arabia na Urusi wazozana kuhusu bei ya mafuta. 12.3.2020
Mzozo wa mafuta: Saudi Arabia na Urusi wazozana kuhusu bei ya mafuta. 12.3.2020 Dr Meddy/RFI

Virusi vya Corona vyazidi kuenea duniani, mpaka sasa watu 111,000 katika nchi 99 wameambukizwa virusi hivi 09/03/2020
Virusi vya Corona vyazidi kuenea duniani, mpaka sasa watu 111,000 katika nchi 99 wameambukizwa virusi hivi 09/03/2020 © RFI

Kuelekea amani ya kudumu nchini Sudan Kusini, njia bado ni ndefu kwa pande hasimu, 28/02/2020
Kuelekea amani ya kudumu nchini Sudan Kusini, njia bado ni ndefu kwa pande hasimu, 28/02/2020 Dr Meddy/RFI

Kibonzo hiki kinaonesha namna uvamizi wa nzige unavyotishia usalama wa chakula katika nchi za Afrika Mashariki. (21/02/2020)
Kibonzo hiki kinaonesha namna uvamizi wa nzige unavyotishia usalama wa chakula katika nchi za Afrika Mashariki. (21/02/2020) RFI-KISWAHILI

Sudan: Kibonzo kikimuonesha rais wazamani za Sudan ambaye sasa atazasilishwa katika mahakama ya ICC 14/02/2020
Sudan: Kibonzo kikimuonesha rais wazamani za Sudan ambaye sasa atazasilishwa katika mahakama ya ICC 14/02/2020 Dr Meddy/RFI

Rais wa Marekani Donald Trump afutiwa mashtaka na baraza la Senati. (05/02/2020)
Rais wa Marekani Donald Trump afutiwa mashtaka na baraza la Senati. (05/02/2020) RFI-KISWAHILI

Virusi vya Corona vinaendelea kuyasumbua mataifa mengi duniani.(29/01/2020)
Virusi vya Corona vinaendelea kuyasumbua mataifa mengi duniani.(29/01/2020) RFI-KISWAHILI

Rais Trump apuuza shinikizo za wanaharakati wakiongozwa na Greta Thunberg kuhusu mabadiliko ya tabia nchi. (21/01/2020)
Rais Trump apuuza shinikizo za wanaharakati wakiongozwa na Greta Thunberg kuhusu mabadiliko ya tabia nchi. (21/01/2020) (21/01/2020)

Moto waendelea kuteketeza misitu nchini Australia, msaada wa kimataifa wahitajika.(16/01/2020)
Moto waendelea kuteketeza misitu nchini Australia, msaada wa kimataifa wahitajika.(16/01/2020) RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinaonesha hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Iran baada ya kuuawa kwa Jenerali wa Iran Qassem Soleimani. 09/01/2020
Kibonzo hiki kinaonesha hali ya wasiwasi kati ya Marekani na Iran baada ya kuuawa kwa Jenerali wa Iran Qassem Soleimani. 09/01/2020 RFI-KISWAHILI

RFI inakutakia Krismasi njema na mwaka mpya 2020 wenye fanaka.(26/12/19)
RFI inakutakia Krismasi njema na mwaka mpya 2020 wenye fanaka.(26/12/19) RFI-KISWAHILI

Rais wa Marekani hajali kuhusu mashtaka ya kumwondoa madarakani. ( 19/12/2019)
Rais wa Marekani hajali kuhusu mashtaka ya kumwondoa madarakani. ( 19/12/2019) RFI-KISWAHILI

Waziri Mkuu wa Uingereza kupata uungwaji mkono wa Brexit baada ya ushindi mkubwa wa wabunge (13/12/2019)
Waziri Mkuu wa Uingereza kupata uungwaji mkono wa Brexit baada ya ushindi mkubwa wa wabunge (13/12/2019) RFI-KISWAHILI

Viongozi wa Jumuiya ya Kujihami ya Nchi za Magharibi (NATO) watofautiana wakati jumuiya hiyo inahitaji kufanyiwa marekebisho, Desemba 5, 2019.
Viongozi wa Jumuiya ya Kujihami ya Nchi za Magharibi (NATO) watofautiana wakati jumuiya hiyo inahitaji kufanyiwa marekebisho, Desemba 5, 2019. © RFI

DRC: Zaidi ya raia 100 wameuawa mwezi Novemba baada ya kushambuliwa na waasi wanaoaminiwa kuwa wa ADF karibu mjini Beni (28/11/2019)
DRC: Zaidi ya raia 100 wameuawa mwezi Novemba baada ya kushambuliwa na waasi wanaoaminiwa kuwa wa ADF karibu mjini Beni (28/11/2019) RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinaonesha polisi wakipambana na waandamanaji huko Hong Kong 21.10.2019
Kibonzo hiki kinaonesha polisi wakipambana na waandamanaji huko Hong Kong 21.10.2019 RFI-KISWAHILI

Baada kupoteza imani ya jeshi kufuatia kuzuka kwa maandamano makubwa dhidi ya kuchaguliwa kwake tena kwa muhula wanne, Evo Morales ameamua kujiuzulu Jumapili usiku Novemba 11,2019..
Baada kupoteza imani ya jeshi kufuatia kuzuka kwa maandamano makubwa dhidi ya kuchaguliwa kwake tena kwa muhula wanne, Evo Morales ameamua kujiuzulu Jumapili usiku Novemba 11,2019.. © RFI

Sudan Kusini: Kibonzo hiki kinaonesha mvutano kuhusu uundwaji wa serikali ya pamoja, wawili hao walikutana katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda (07/11/2019)
Sudan Kusini: Kibonzo hiki kinaonesha mvutano kuhusu uundwaji wa serikali ya pamoja, wawili hao walikutana katika Ikulu ya Entebbe nchini Uganda (07/11/2019) RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinaonesha serikali ilivyopambana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere wanaopinga nyongeza ya mshahara 01/11/2019
Kibonzo hiki kinaonesha serikali ilivyopambana na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere wanaopinga nyongeza ya mshahara 01/11/2019 RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinaonesha namna Urusi itakavyonufaika na ushirikiano wa karibu na bara la Afrika, baada ya mkutano wa kwanza kati ya Afrika na Urusi (24/10/2019)
Kibonzo hiki kinaonesha namna Urusi itakavyonufaika na ushirikiano wa karibu na bara la Afrika, baada ya mkutano wa kwanza kati ya Afrika na Urusi (24/10/2019) RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinaonesha namna Marekani na Uturuki zinavyohatarisha kurejea kwa magaidi wa Islamic State nchini Syria, baada ya Uturuki kuanza kuwashambulia wapiganaji wa Kikurdi Kaskazini mwa Syria (17/10/2019)
Kibonzo hiki kinaonesha namna Marekani na Uturuki zinavyohatarisha kurejea kwa magaidi wa Islamic State nchini Syria, baada ya Uturuki kuanza kuwashambulia wapiganaji wa Kikurdi Kaskazini mwa Syria (17/10/2019) RFI-KISWAHILI

Rais wa Marekani akataa kushirikiana na wabunge wanaochunguza mchakato wa kumwondoa madarakani ( 09/10/2019)
Rais wa Marekani akataa kushirikiana na wabunge wanaochunguza mchakato wa kumwondoa madarakani ( 09/10/2019) RFI-KISWAHILI

Serikali nchini Uganda lapiga marufuku kofia maalum inayosema ni ya kijeshi, imekuwa ikitumiwa na vuguvugu la kisiasa la People Power linaloongozwa na Bobi Wine 03/10/209
Serikali nchini Uganda lapiga marufuku kofia maalum inayosema ni ya kijeshi, imekuwa ikitumiwa na vuguvugu la kisiasa la People Power linaloongozwa na Bobi Wine 03/10/209 RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinamwonesha rais wa Marekani Donald Trump ambaye amejikuta pabaya baada ya wabunge kuanza kuchunguza uwezekano wa kumwondoa madarakani baada ya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ukraine, Septemba 26 2019
Kibonzo hiki kinamwonesha rais wa Marekani Donald Trump ambaye amejikuta pabaya baada ya wabunge kuanza kuchunguza uwezekano wa kumwondoa madarakani baada ya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ukraine, Septemba 26 2019 RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinaonesha hali ya sintofahamu ya kisiasa nchini Israel baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kupata idadi ya wabunge inayohitajika kuunda serikali ( 20 /9/2019)
Kibonzo hiki kinaonesha hali ya sintofahamu ya kisiasa nchini Israel baada ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kupata idadi ya wabunge inayohitajika kuunda serikali ( 20 /9/2019) RFI-KISWAHILI

Kibonzo hiki kinaonesha jitihada za Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson, kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya hata bila ya mkataba ifikapo tarehe 31 mwezi Oktoba 2019
Kibonzo hiki kinaonesha jitihada za Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson, kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya hata bila ya mkataba ifikapo tarehe 31 mwezi Oktoba 2019 RFI-KISWAHILI

Afrika Kusini: Kibonzo hiki kinaonesha mashambulizi dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini, yaliyosababisha vifo vya watu saba (05/09/2019)
Afrika Kusini: Kibonzo hiki kinaonesha mashambulizi dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini, yaliyosababisha vifo vya watu saba (05/09/2019) RFI-KISWAHILI

Katunzi hii inaelezea wito wa serikali ya Tanzania kwa wakimbizi kutoka Burundi kurejea nyumbani, lakini wao hawataki. (29/08/2019)
Katunzi hii inaelezea wito wa serikali ya Tanzania kwa wakimbizi kutoka Burundi kurejea nyumbani, lakini wao hawataki. (29/08/2019) RFI-KISWAHILI

Rwanda/Uganda : Marais Paul Kagame na Yoweri Museveni, baada ya kutia saini mkataba wa maelewano nchini Angola 21/08/2019
Rwanda/Uganda : Marais Paul Kagame na Yoweri Museveni, baada ya kutia saini mkataba wa maelewano nchini Angola 21/08/2019 RFI-KISWAHILI

Rais wa Marekani Donald Trump amesema chuki ndio inayosababisha watu kushambuliwa kwa kupigwa risasi katika jimbo la Texas na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30 08/08/2019
Rais wa Marekani Donald Trump amesema chuki ndio inayosababisha watu kushambuliwa kwa kupigwa risasi katika jimbo la Texas na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30 08/08/2019 RFI-KISWAHILI

Maambuzi ya Ebola Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia mwaka mmoja baadaye, maambukizi yaripotiwa Goma, 01/08/2019.
Maambuzi ya Ebola Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia mwaka mmoja baadaye, maambukizi yaripotiwa Goma, 01/08/2019. RFI-KISWAHILI

Uingereza: Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Boris Johnson aahidi kuindoa Uingereza kwenye Umoja wa Ulaya baada ya siku 100 ((25/07/2019))
Uingereza: Waziri Mkuu mpya wa Uingereza Boris Johnson aahidi kuindoa Uingereza kwenye Umoja wa Ulaya baada ya siku 100 ((25/07/2019)) RFI-KISWAHILI

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza Ebola kuwa dharura ya kimataifa. (18/07/2019)
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza Ebola kuwa dharura ya kimataifa. (18/07/2019) © RFI

Iran/USA: Mzozo zaidi washuhudiwa kati ya Iran na Marekani kuhusu mpango wa Tehran kurutubisha Urani 11/07/2019
Iran/USA: Mzozo zaidi washuhudiwa kati ya Iran na Marekani kuhusu mpango wa Tehran kurutubisha Urani 11/07/2019 Dr Meddy

Libya: Watu zaidi ya 50 wameuawa katika shambulio la roketi dhidi ya kambi ya wakimbii karibu na Tripoli, Julai 3, 2019.
Libya: Watu zaidi ya 50 wameuawa katika shambulio la roketi dhidi ya kambi ya wakimbii karibu na Tripoli, Julai 3, 2019. © RFI

Kwa mujibu wa Azimio la 42/112 lililopitishwa Desemba 7, 1987, Mkutano Mkuu uliamua kuadhimisha siku ya kimataifa dhidi ya matumizi mabaya ya mihadarati na biashara haramu ya madawa ya kulevya haramu tarehe 26 Juni ili kuimarisha hatua na ushirikiano.
Kwa mujibu wa Azimio la 42/112 lililopitishwa Desemba 7, 1987, Mkutano Mkuu uliamua kuadhimisha siku ya kimataifa dhidi ya matumizi mabaya ya mihadarati na biashara haramu ya madawa ya kulevya haramu tarehe 26 Juni ili kuimarisha hatua na ushirikiano. © RFI

Vita vinaendelea kusababisha mamilioni ya watu kuyakimbia makwao kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa Juni 20 2019
Vita vinaendelea kusababisha mamilioni ya watu kuyakimbia makwao kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa Juni 20 2019 RFI-KISWAHILI

Waandamanaji kwenye mji wa Hong Kong waendelea kupinga sheria tata ya kubadilishana watuhumiwa
Waandamanaji kwenye mji wa Hong Kong waendelea kupinga sheria tata ya kubadilishana watuhumiwa Dr Meddy

Sudan:Maafisa wa usalama nchini Sudan watumia nguvu kupambana na waandamanaji jijini Khartoum wanaoshinikiza serikali kukabidhi madaraka kwa raia (05/06-2019)
Sudan:Maafisa wa usalama nchini Sudan watumia nguvu kupambana na waandamanaji jijini Khartoum wanaoshinikiza serikali kukabidhi madaraka kwa raia (05/06-2019) RFI-KISWAHILI

Serikali ya Tanzania imepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kulinda mazingira. 30/05/2019
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kulinda mazingira. 30/05/2019 Dr Meddy

Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na China wasababisha kampuni ya Google kuonya kampuni ya Huaiwie (24/5/2019)
Mvutano wa kibiashara kati ya Marekani na China wasababisha kampuni ya Google kuonya kampuni ya Huaiwie (24/5/2019) RFI-KISWAHILI

Uganda/Rwanda: Hali ya wasiwasi yaendelea kushuhudiwa kati ya nchi jirani za Rwanda na Uganda baada ya kufungwa kwa mpaka wa Katuna (16/05/2019)
Uganda/Rwanda: Hali ya wasiwasi yaendelea kushuhudiwa kati ya nchi jirani za Rwanda na Uganda baada ya kufungwa kwa mpaka wa Katuna (16/05/2019) RFI-KISWAHILI

Uganda: Wanasisasa wawili wa upinzani Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi waungana kumwondoa madarakani rais Yoweri Museveni (Mei 9 2019)
Uganda: Wanasisasa wawili wa upinzani Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi waungana kumwondoa madarakani rais Yoweri Museveni (Mei 9 2019) RFI-KISWAHILI

Sikukuu ya wafanyikazi Mei 1 2019: Mshahara mdogo lakini matumzi makubwa
Sikukuu ya wafanyikazi Mei 1 2019: Mshahara mdogo lakini matumzi makubwa RFI-KISWAHILI

Uganda: Mwanasiasa na mbunge wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, akamatwa na kuzuiwa nyumbani (25/04.2019)
Uganda: Mwanasiasa na mbunge wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, akamatwa na kuzuiwa nyumbani (25/04.2019) RFI-KISWAHILI

Libya:Khalifa Haftar na jeshi lake waendelea kupambana na vikosi vya serikali inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa kudhibiti jiji kuu la Tripoli (19/04/2019)
Libya:Khalifa Haftar na jeshi lake waendelea kupambana na vikosi vya serikali inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa kudhibiti jiji kuu la Tripoli (19/04/2019) RFI-KISWAHILI

Maandamano yaliyomwondoa madarakani rais wa Sudan Omar Al Bashir Aprili 11 2019
Maandamano yaliyomwondoa madarakani rais wa Sudan Omar Al Bashir Aprili 11 2019 RFI-KISWAHILI

Rais wa Algeria ajiuzulu baada ya kuongoza nchi hiyo kwa miaka 20.(03/04/2019)
Rais wa Algeria ajiuzulu baada ya kuongoza nchi hiyo kwa miaka 20.(03/04/2019) RFI-KISWAHILI

Uingereza: Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May aendelea kukabiliwa na kibarua kigumu kuhusu mchakato wa kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya (28/03/2019)
Uingereza: Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May aendelea kukabiliwa na kibarua kigumu kuhusu mchakato wa kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya (28/03/2019) RFI-KISWAHILI

Mabadiliko ya hali ya hewa: Mamia wapoteza maisha na maelfu wapoteza makaazi yao baada ya kimbuga kutokea nchini Msumbiji na Zimbabwe
Mabadiliko ya hali ya hewa: Mamia wapoteza maisha na maelfu wapoteza makaazi yao baada ya kimbuga kutokea nchini Msumbiji na Zimbabwe RFI-KISWAHILI

Algeria: Pamoja na mapendekezo kutoka kwa serikali, wananchi waendelea kupuuzia mbali wito wa rais Bouteflikha (14/03/2019).
Algeria: Pamoja na mapendekezo kutoka kwa serikali, wananchi waendelea kupuuzia mbali wito wa rais Bouteflikha (14/03/2019). © RFI

Maelfu ya waandamanaji nchini Algeria wanaendelea kupinga muhula wa tano wa rais Abdelaziz Bouteflika. (07/03/2019)
Maelfu ya waandamanaji nchini Algeria wanaendelea kupinga muhula wa tano wa rais Abdelaziz Bouteflika. (07/03/2019) © RFI

Nigeria: Buhari ashinda uchaguzi kwa muhula mwingine wa miaka minnekwa 56 % ya kura, (27/02/2019).
Nigeria: Buhari ashinda uchaguzi kwa muhula mwingine wa miaka minnekwa 56 % ya kura, (27/02/2019). © RFI

Uganda: Chama tawala NRM chamteua Yoweri Museveni kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa 2021. 23/02/2019
Uganda: Chama tawala NRM chamteua Yoweri Museveni kuwa mgombea wake katika uchaguzi ujao wa 2021. 23/02/2019 RFI Dr Meddy

Kibonzo cha wiki hii kuhusu rais wa Misri na umoja wa Afrika
Kibonzo cha wiki hii kuhusu rais wa Misri na umoja wa Afrika RFI Dr Meddy

Ivory Coast: Mahakama ya Kimataifa ya ICC ilimwachilia huru rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo lakini hakukubaliwa kurejea nchini mwake (06/02/2019)
Ivory Coast: Mahakama ya Kimataifa ya ICC ilimwachilia huru rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo lakini hakukubaliwa kurejea nchini mwake (06/02/2019) RFI-KISWAHILI

Venezuela: Rais wa Venezuela Nicolas Maduro apata shinikizo kutoka kwa Marekani (30/01/2019)
Venezuela: Rais wa Venezuela Nicolas Maduro apata shinikizo kutoka kwa Marekani (30/01/2019) RFI-KISWAHILI

Felix Tshisekedi atawazwa kama rais wa DRC. Amemrithi Joseph Kabila wakati wa uchaguzi wa amani. (24/01/2019).
Felix Tshisekedi atawazwa kama rais wa DRC. Amemrithi Joseph Kabila wakati wa uchaguzi wa amani. (24/01/2019). © RFI

Kibonzo hiki kinaonesha maeneo ambayo magaidi wa Al Shabab walikoshambulia nchini Kenya, shambulizi la hivi karibuni likiwa ni katika hoteli ya Dusit Januari 15 2019
Kibonzo hiki kinaonesha maeneo ambayo magaidi wa Al Shabab walikoshambulia nchini Kenya, shambulizi la hivi karibuni likiwa ni katika hoteli ya Dusit Januari 15 2019 RFI-KISWAHILI

Ushindi wa Felix Tshisekedi umewashangaza wengi
Ushindi wa Felix Tshisekedi umewashangaza wengi RFI-KISWAHILI

Je, ni hatua ipi itakayofuata kwa Gabon baada ya kushindwa kwa jaribio la mapinduzi wakati Rais akiendelea kupewa matibabu. (08/01/2019).
Je, ni hatua ipi itakayofuata kwa Gabon baada ya kushindwa kwa jaribio la mapinduzi wakati Rais akiendelea kupewa matibabu. (08/01/2019). © RFI

DRC:Mamlaka nchini DRC yafunga mitambo ya RFI na kusitisha kibali cha ripota wake, 03/01/2019.
DRC:Mamlaka nchini DRC yafunga mitambo ya RFI na kusitisha kibali cha ripota wake, 03/01/2019. RFI-KISWAHILI

Heri ya mwaka mpya 2019
Heri ya mwaka mpya 2019 RFI-KISWAHILI

DR-Congo: Uchaguzi umeahirishwa mashariki mwa jimbo la Kivu Kaskazini ikidaiwa ni kutokana na hofu ya ugonjwa wa Ebola (27/12/2018).
DR-Congo: Uchaguzi umeahirishwa mashariki mwa jimbo la Kivu Kaskazini ikidaiwa ni kutokana na hofu ya ugonjwa wa Ebola (27/12/2018). © RFI

DR-Congo: Uchaguzi Nchini DRC umeahirishwa hadi Desemba 30. (21/12/2018).
DR-Congo: Uchaguzi Nchini DRC umeahirishwa hadi Desemba 30. (21/12/2018). © RFI

Jumuiya ya Kimataifa imeshindwa kushtumu vikwazo vya Umoja aw Ulaya dhidi ya mgombea wa urais Emmanuel Shadary, Desemba 12, 2018.
Jumuiya ya Kimataifa imeshindwa kushtumu vikwazo vya Umoja aw Ulaya dhidi ya mgombea wa urais Emmanuel Shadary, Desemba 12, 2018. © RFI

Ufaransa: Emmanuel Macron anakabiliwa na waandamanaji wa vizibao vya njano ( 06/12/2018)
Ufaransa: Emmanuel Macron anakabiliwa na waandamanaji wa vizibao vya njano ( 06/12/2018) © RFI

Kibonzo hiki kinaonesha wagombea wakuu wa upinzani Martin Fayulu na Felix Tshisekedi wakivutana kuelekea Uchaguzi wa urais mwezi Desemba, Novemba 28, 2018.
Kibonzo hiki kinaonesha wagombea wakuu wa upinzani Martin Fayulu na Felix Tshisekedi wakivutana kuelekea Uchaguzi wa urais mwezi Desemba, Novemba 28, 2018. © RFI-KISWAHILI

Saudi Arabia: Kibonzo hiki kinaelekea kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuwa Marekani haitachukulia hatua Saudi Arabia licha ya mauaji ya Jamal Khashoggi, Novemba 22, 2018.
Saudi Arabia: Kibonzo hiki kinaelekea kauli ya rais wa Marekani Donald Trump kuwa Marekani haitachukulia hatua Saudi Arabia licha ya mauaji ya Jamal Khashoggi, Novemba 22, 2018. RFI-KISWAHILI

Tanzania: Serikali katika juhudi za kunusuru zao la korosho kutoka kwa wazalishaji, Novemba 15, 2018.
Tanzania: Serikali katika juhudi za kunusuru zao la korosho kutoka kwa wazalishaji, Novemba 15, 2018. © RFI

Chama cha Republican kimeendelea kushikilia Baraza la Seneti, huku Bunge la wawakilishi likishikiliwa na chama cha Democratic, Novemba 2018.
Chama cha Republican kimeendelea kushikilia Baraza la Seneti, huku Bunge la wawakilishi likishikiliwa na chama cha Democratic, Novemba 2018. © RFI

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.