Pata taarifa kuu

RFI Katuni za Meddy 2017

Nyota wa zamani wa soka George Weah ameshinda uchaguzi mkuu wa rais kwa kura nyingi, Desemba 28, 2017.
Nyota wa zamani wa soka George Weah ameshinda uchaguzi mkuu wa rais kwa kura nyingi, Desemba 28, 2017. RFI-KISWAHILI

Katuni hizi zinashiria yale yanayoendelea kushuhudiwa ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kinyume cha sheria mwandishi wa habari wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon Ahmed Abba.

Matangazo ya kibiashara
Nyota wa zamani wa soka George Weah ameshinda uchaguzi mkuu wa rais kwa kura nyingi, Desemba 28, 2017.
Nyota wa zamani wa soka George Weah ameshinda uchaguzi mkuu wa rais kwa kura nyingi, Desemba 28, 2017. RFI-KISWAHILI

Baada ya kutumikia kifungo cha zaidi ya miezi 29, hatimaye mwanahabari wa RFI idhaa ya Hausa Ahmed Abba sasa atakuwa huru, Desemba 22, 2017.
Baada ya kutumikia kifungo cha zaidi ya miezi 29, hatimaye mwanahabari wa RFI idhaa ya Hausa Ahmed Abba sasa atakuwa huru, Desemba 22, 2017. RFI-KISWAHILI

Hatimaye wabunge wa Uganda wamepitisha muswada wa mabadiliko ya katiba kuondoa kipengele cha ukomo wa umri wa mtu kuwania urais, sasa rais Yoweri Museveni yuko huru kuwania uchaguzi ujao, Desemba 20, 2017.
Hatimaye wabunge wa Uganda wamepitisha muswada wa mabadiliko ya katiba kuondoa kipengele cha ukomo wa umri wa mtu kuwania urais, sasa rais Yoweri Museveni yuko huru kuwania uchaguzi ujao, Desemba 20, 2017. RFI-KISWAHILI

Mizozo ya kivita nchini DRC inasababisha sio tu mdororo wa usalama, bali pia njaa kwa raia, Desemba 14, 2017.
Mizozo ya kivita nchini DRC inasababisha sio tu mdororo wa usalama, bali pia njaa kwa raia, Desemba 14, 2017. RFI-KISWAHILI

Vita vya maneneo vyaongezeka kati ya Marekani na Korea Kaskazini, Desemba 6, 2017.
Vita vya maneneo vyaongezeka kati ya Marekani na Korea Kaskazini, Desemba 6, 2017. RFI-KISWAHILI

Biashara ya Binadamu nchini Libya yatia wasiwasi Umoj awa Ulaya (EU), Novemba 29, 2017.
Biashara ya Binadamu nchini Libya yatia wasiwasi Umoj awa Ulaya (EU), Novemba 29, 2017. RFI-KISWAHILI

Zimbabwe: Baada ya Mugabe kujiuzulu Emmerson Mnangagwa  achukua madaraka, Novemba 22, 2017.
Zimbabwe: Baada ya Mugabe kujiuzulu Emmerson Mnangagwa  achukua madaraka, Novemba 22, 2017. RFI-KISWAHILI

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anaamini kuwa bado ni kiongozi halali wa Zimbabwe na kupinga shinikizo kutoka kwa jeshi linalotaka kumuondoa mamlakani, Novemba 16, 2017.
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anaamini kuwa bado ni kiongozi halali wa Zimbabwe na kupinga shinikizo kutoka kwa jeshi linalotaka kumuondoa mamlakani, Novemba 16, 2017. RFI-KISWAHILI

Maandamano ya upinzani nchini Togo yanaendelea, licha ya wito na makataa ya Serikali kuyapiga marufuku. Upinzani umeendelea kupinga utawala wa rais Faure Gnassingbe, Novemba 10, 2017.
Maandamano ya upinzani nchini Togo yanaendelea, licha ya wito na makataa ya Serikali kuyapiga marufuku. Upinzani umeendelea kupinga utawala wa rais Faure Gnassingbe, Novemba 10, 2017. RFI-KISWAHILI

Maandamano makubwa mashariki mwa DRC kushinikiza Rais Kabila kuandaa uchaguzi wa urais ambao ungelifanyika mwishoni mwa mwaka 2016, Novemba 2, 2017.
Maandamano makubwa mashariki mwa DRC kushinikiza Rais Kabila kuandaa uchaguzi wa urais ambao ungelifanyika mwishoni mwa mwaka 2016, Novemba 2, 2017. RFI-KISWAHILI

Mzozo wa Catalonia kuhusu uhuru wa eneo hilo umekua ni mzigo wa matatizo kwa Umoja wa Ulaya, Oktoba 26, 2017.
Mzozo wa Catalonia kuhusu uhuru wa eneo hilo umekua ni mzigo wa matatizo kwa Umoja wa Ulaya, Oktoba 26, 2017. RFI-KISWAHILI

Amkani hali si shwari tena Somalia baada ya kushuhudia shambulio baya zaidi la bomu kuwahi kutekelezwa mjini Mogadishu, Oktoba 18, 2017.
Amkani hali si shwari tena Somalia baada ya kushuhudia shambulio baya zaidi la bomu kuwahi kutekelezwa mjini Mogadishu, Oktoba 18, 2017. RFI-KISWAHILI

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ajiondoa katika uchaguzi wa Oktoba 26, Rais Uhuru Kenyatta na Tume ya Uchaguzi (IEBC) wanasema uchaguzi utafanyika Oktoba 26 kama ilivyopagnwa, Oktoba 12, 2017.
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ajiondoa katika uchaguzi wa Oktoba 26, Rais Uhuru Kenyatta na Tume ya Uchaguzi (IEBC) wanasema uchaguzi utafanyika Oktoba 26 kama ilivyopagnwa, Oktoba 12, 2017. RFI-KISWAHILI

Marekebisho ya katiba kuondoa kipengele cha ukomo wa umri wa rais yamezua hali ya sintofahamu nchini Uganda, Oktoba 6, 2017.
Marekebisho ya katiba kuondoa kipengele cha ukomo wa umri wa rais yamezua hali ya sintofahamu nchini Uganda, Oktoba 6, 2017. RFI-KISWAHILI

Rais Magufuli ameagiza kujengwa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani, nae Donald Trump aagiza kujengwa ukuta na mpaka na Mexico, Septemba 28, 2017.
Rais Magufuli ameagiza kujengwa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani, nae Donald Trump aagiza kujengwa ukuta na mpaka na Mexico, Septemba 28, 2017. RFI-KISWAHILI

Aung San Suu Kyi atakiwa kukomesha mateso na mauaji yanayowakumba Rohingya, Septemba 21, 2017.
Aung San Suu Kyi atakiwa kukomesha mateso na mauaji yanayowakumba Rohingya, Septemba 21, 2017. RFI-KISWAHILI

Rais wa Marekani Donald Trump alijiondoa kwenye makubaliano ya Paris kuhusu badiliko ya tabia nchi, lakini ameanza kujuta baada ya nchi yake kukumbwa na kimbunga Irma. Septemba 14, 2017.
Rais wa Marekani Donald Trump alijiondoa kwenye makubaliano ya Paris kuhusu badiliko ya tabia nchi, lakini ameanza kujuta baada ya nchi yake kukumbwa na kimbunga Irma. Septemba 14, 2017. RFI-KISWAHILI

Mahakama Kuu ilifuta matokeo ya uchauzi wa urais nchini Kenya, Septemba 7, 2017.
Mahakama Kuu ilifuta matokeo ya uchauzi wa urais nchini Kenya, Septemba 7, 2017. RFI-KISWAHILI

Kiongozi wa Korea Kaskazini anadharau jumuiya ya kimataifa kwa kuendelea kurusha makombora ya masafa marefu, Agosti 31, 2017.
Kiongozi wa Korea Kaskazini anadharau jumuiya ya kimataifa kwa kuendelea kurusha makombora ya masafa marefu, Agosti 31, 2017. RFI-KISWAHILI

Rais wa Marekani Donald Trump atangaza mkakati mpya wa vita nchini Afghanistan, Agosti 24, 2017.
Rais wa Marekani Donald Trump atangaza mkakati mpya wa vita nchini Afghanistan, Agosti 24, 2017. RFI-KISWAHILI

Matamshi makali kati ya rais wa Marekani na Korea Kaskazini yapungua, Agosti 17.
Matamshi makali kati ya rais wa Marekani na Korea Kaskazini yapungua, Agosti 17. RFI-KISWAHILI

Uhuru Kenyatta ashinda uchaguzi kwa mara ya pili mfululizo ( 2013/2017),  Raila Odinga alalamika, Agosti 13, 2017.
Uhuru Kenyatta ashinda uchaguzi kwa mara ya pili mfululizo ( 2013/2017), Raila Odinga alalamika, Agosti 13, 2017. RFI-KISWAHILI

Nchini Kenya, wapiga kura wanapiga kura,wanataka amani lakini wana hofu, Agosti 7, 2017
Nchini Kenya, wapiga kura wanapiga kura,wanataka amani lakini wana hofu, Agosti 7, 2017 RFI-KISWAHILI

Uturuki yashutumiwa kwa kuminya uhuru wa Vyombo vya Habari, Agosti 1, 2017.
Uturuki yashutumiwa kwa kuminya uhuru wa Vyombo vya Habari, Agosti 1, 2017. RFI-KISWAHILI

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro anakabiliwa na shinikizo la upinzani kutakiwa kuondoka madarakani, Julai 20, 2017.
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro anakabiliwa na shinikizo la upinzani kutakiwa kuondoka madarakani, Julai 20, 2017. RFI-KISWAHILI

Serikali ya DR Congo inatangaza kuwa uchaguzi utafanyika kabla ya mwisho wa mwaka 2017, Julai 12, 2017.
Serikali ya DR Congo inatangaza kuwa uchaguzi utafanyika kabla ya mwisho wa mwaka 2017, Julai 12, 2017. RFI-KISWAHILI

USA/Iran: Ingawa jumuiya ya kimataifa imefikia makubaliano na Iran ya kuacha uzalishaji wa vifaa vya nyuklia kwa matumizi ya kijeshi, Donald Trump ajitoa kwenye mkataba huu, Mei 9, 2018.
USA/Iran: Ingawa jumuiya ya kimataifa imefikia makubaliano na Iran ya kuacha uzalishaji wa vifaa vya nyuklia kwa matumizi ya kijeshi, Donald Trump ajitoa kwenye mkataba huu, Mei 9, 2018. RFI-KISWAHILI

Donald Trump na matumizi yaliyopindukia ya mitandao ya kijamii anayotumia kujibu wakosoaji wake, Julai 4, 2017.
Donald Trump na matumizi yaliyopindukia ya mitandao ya kijamii anayotumia kujibu wakosoaji wake, Julai 4, 2017. RFI-KISWAHILI

Vita na machafuko barani Afrika vyasababisha watu kukimbilia nchi jirani, Juni 25, 2017.
Vita na machafuko barani Afrika vyasababisha watu kukimbilia nchi jirani, Juni 25, 2017. RFI-KISWAHILI

Rais Magufuli na vita dhidi ya makampuni ya madini yaliyokwepa kodi, Juni 17, 2017.
Rais Magufuli na vita dhidi ya makampuni ya madini yaliyokwepa kodi, Juni 17, 2017. RFI-KISWAHILI

Rais wa Marekani Donald Trump hakubaliani na mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, Juni 7, 2017.
Rais wa Marekani Donald Trump hakubaliani na mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, Juni 7, 2017. RFI-KISWAHILI

Vita vya maneno kati ya Korea Kaskazini, Marekani, Urusi na Umoja wa Mataifa, Mei 31, 2017.
Vita vya maneno kati ya Korea Kaskazini, Marekani, Urusi na Umoja wa Mataifa, Mei 31, 2017. RFI-KISWAHILI

DRC inakabiliwa na virus vya Ebola na migogoro ya kisiasa, Mei 26, 2017.
DRC inakabiliwa na virus vya Ebola na migogoro ya kisiasa, Mei 26, 2017. RFI-KISWAHILI

Uchunguzi kuendeshwa na Donald Trump pamoja na Urusi, Mei 21, 2017.
Uchunguzi kuendeshwa na Donald Trump pamoja na Urusi, Mei 21, 2017. RFI-KISWAHILI

Ushindi wa Emmanuel Macron Mei 15, 2017.
Ushindi wa Emmanuel Macron Mei 15, 2017. RFI-KISWAHILI

Ushindi wa Emmanuel Macron Mei 8, 2017.
Ushindi wa Emmanuel Macron Mei 8, 2017. RFI-KISWAHILI

Ahmed abba, mwandishi wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon kizuizini, Aprili 28, 2017.
Ahmed abba, mwandishi wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon kizuizini, Aprili 28, 2017. RFI-KISWAHILI

Ahmed abba, mwandishi wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon ahukumiwa kifungo cha miaka 10, Aprili 24, 2017.
Ahmed abba, mwandishi wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon ahukumiwa kifungo cha miaka 10, Aprili 24, 2017. RFI-KISWAHILI

Ahmed abba, mwandishi wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon kizuizini, aprili 15, 2017.
Ahmed abba, mwandishi wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon kizuizini, aprili 15, 2017. RFI-KISWAHILI

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.