Pata taarifa kuu
UFARANSA-AJIRA

Edouard Philippe: Sheria mpya ya kazi itatekelezwa kikamilifu

Waziri Mkuu wa Ufaransa Edouard Philippe atapokea ujumbe wa vyama vya wafanyakazi wa reli Mei 7.
Waziri Mkuu wa Ufaransa Edouard Philippe atapokea ujumbe wa vyama vya wafanyakazi wa reli Mei 7. REUTERS/Stephane Mahe

Waziri Mkuu wa Ufaransa Edouard Philippe amesema Serikali ya nchi hiyo iko imara na itahakikisha sheria mpya ya kazi inatekelezwa kikamilifu.

Matangazo ya kibiashara

Waziri Mkuu wa Ufaransa Edouard Philippe amesema Serikali iko imara na itahakikisha sheria ya kazi inatekelezwa katika nchi hiyo.

Akiandamana na waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa katika mji wa Bourges.

Waziri mkuu Philippe amelaani maandamano ya wafanyakazi yaliyofanyika mei mosi mjini Paris.

Waziri huyo amesema rubani yuko ndani ya ndege na kila kitu kinaenda vizuri, akimaanisha rais Emmanuel Macron anashikilia usukani, kauli ambayo aliitoa katika kuwakemea wapinzani wa serikali wanaokosoa serikali yake.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.