Pata taarifa kuu
UINGEREZA-EU-USHIRIKIANO-SIASA

Theresa May kuomba kuongezwa muda wa nchi yake kujiondoa EU

Mjadala kuhusu Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, Januari 16 katika Bunge la Ulaya, Strasbourg.
Mjadala kuhusu Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, Januari 16 katika Bunge la Ulaya, Strasbourg. REUTERS/Vincent Kessler

Waziri Mkuu wa Uingereza Bi Theresa May anatarajiwa kuwaandikia barua wakuu wa Umoja wa Ulaya, kuwoamba, waiongoezee muda nchi yake, kuelekea kujiondoa kwenye Umoja huo.

Matangazo ya kibiashara

Hatua hii inakuja, baada ya wabunge kukataa mapendekezo ya serikali yake ya namna ya kujiondoa kwenye umoja huo.

Kumeripotiwa mvutano katika baraza la mawaziri, huku kukiwa na wasiwasi kuwa huenda Uingereza ikachelewa kujiondoa hata kwa muda wa miaka miwili.

Michel Barnier amekuwa akiwakilishaa Umoja wa Ulaya kwenye mazungumzo ya Uingereza kujiondoa.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.