Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Tanzania yaondokewa na msanii nguli wa filamu,Steven Charles Kanumba

Sauti 19:50
Marehemu Steven Charles Kanumba,1984-2012
Marehemu Steven Charles Kanumba,1984-2012

Nyumba ya sanaa yakumbwa na habari ya tanzia kufuatia kifo cha msanii mashuhuri Afrika mashariki na nje ya bara,Steven Charles Kanumba ambaye alifariki ghafla usiku wa kuamkia jumamosi 7 april 2012 baada ya kuwa na mgogoro na mpenzi wake.Fahamu yaliyojiri,.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.