Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

AdjobaLove na harakati zake za Muziki wa Reggue

Sauti 11:14
Adjobalove, mwanamuziki wa miondoko ya Reggue kutoka Burundi
Adjobalove, mwanamuziki wa miondoko ya Reggue kutoka Burundi facebook/adjobalove

Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anazungumza na AdjobaLove, mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Reggue raia wa Burundi ambae anaeshi uhamishoni nchini Rwanda, usikosi pia kumfollow ntaganzaji wako Ali Bilali kwa Instagram @billy_bilali

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.