Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Jux akiri wimbo utaniuwa kamuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha

Sauti 11:58
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Jux ndani ya studio za RFI Kiswahili na mtangazaji Ali Bilali
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Jux ndani ya studio za RFI Kiswahili na mtangazaji Ali Bilali Ali Bilali

Makala Muziki Ijumaa juma hili, Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Jux ambae ametambulisha wimbo wake mpya "Utaniuwa" ambao amekiri kumuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha. ambatana naye kufahamu mengi zaidi.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.