Ratiba ya mechi 32 za CAN 2015 Equatorial Guinea

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika 2015
Imehaririwa: 02/06/2016 - 09:26

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika itachezwa kuanzia Januari 17 hadi Februari 8 mwaka 2015 nchini Equatorial Guinea, baada ya Morocco kukataa kuandaa mashindano haya. Mechi 32 zitachezwa katika miji ya Malabo, Bata, Mongomo na Ebibeyin.