Libya

Mapambano yaendelea nchini Libya Ocampo awalenga viongozi kufikishwa mahakamani ICC

Bandari ya Misrata, Dactari wa Libya akipandisha bendera baada ya kuwasili meli iliosheheni madawa
Bandari ya Misrata, Dactari wa Libya akipandisha bendera baada ya kuwasili meli iliosheheni madawa © Christophe Simon/AFP

Majeshi ya kiongozi wa Libya Muamar Kadhafi yanazidi kuwashambulia waasi katika bandari ya mji wa Misrata na mashambulizi ya hivi punde yamesababisha kuauwa kwa waasi watano katika mji huo, unaotawalaiwa na waasi.

Matangazo ya kibiashara

Viongozi wa majeshi ya NATO yanayowalinda waasi dhidi ya mashambulizi hayo wanasema kuwa wamefanikiwa pakubwa, kusambaratisha jeshi la Kadhafi ambalo linatuhumiwa kufanya mauaji makubwa ya nchini humo na tayari kiongozi wa mashataka katika mahakama ya kimatifa ya ICC Louis Moreno Ocampo amekwenda katika baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kutaka kupewa nafasi ya kuwakamata kuwafungulia mashtaka watuhumiwa wa mauaji hayo, kama anavyoleza hapa.

OCAMPO MORENO MAY 5 2011