Mawakili nchini Uganda watowa hoja kuhusu mgomo wao unaoendelea
Imechapishwa: Imehaririwa:
Mgomo wa mawakili nchini Uganda waendelea, huku wakituhumiwa kuchochea maandamano ya upinzani nchini humo.
Mawakili wanaogoma nchini Uganda wanasema kuwa mgomo wao wa wiki moja haulengi kwa vyovyote vile, kuchochea maandamano bali ni kulalamikia ukikwaji wa haki za biandamu unaotekelezwa na serikali nchini humo kupitia kwa vyombo vya usalama amabvyo maafisa wake wanakamata na kuwapiga wananchi wa Uganda, wanapotaka kudai haki zao za kimsingi kama kuandamana.
David Mayinja Tebusweke ni mmoja wa mawakili hao,ambao wamepnaga kugoma hadi siklu ya Jumamosi juma hili.
mgomo wa mawakili nchini Uganda
UGANDA -DAVID MAYINJA TEBUSWEKE