Habari RFI-Ki

Ukata katika Shirika la Reli TAZARA

Sauti 10:18
Rfi-ki

Ukata umelikumba Shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA,ukosefu wa Fedha na luzuku toka serikali hizi mbili na uzalishaji Duni umelikumba shirika hilo kwa muda sasa,hadi tarehe kumi na sita mwezi wa tano wafanyakazi wa shirika hilo walikuwa hawajalipwa mishahara yao ya mwezi Aprili,Mara kadhaa Treni ya mizigo imesitisha safari zake kwa ukosefu wa mafuta ya kuendeshea mitambo hasa injini za shirika hilo.