DRC

Ubakaji bado ni swala teta mashariki mwa DRC

Picha ya mwanamamana mwanae mbele ya mlango wake, ambapo alibakwa na waasi 3 wa kundi la (FDLR).
Picha ya mwanamamana mwanae mbele ya mlango wake, ambapo alibakwa na waasi 3 wa kundi la (FDLR). AFP/ MARC HOFFER

Wanawake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC hasa wale ambao wanatoka Mashariki mwa nchi hiyo wamesema swala la ubakaji bado ni tete licha ya kupungua ukilinganisha na hali ilivyokuwa miaka ya hapo awali.Reuben Lukumbuka amezungumza na Nziavake Edoxyine anayesimamia Taasisi ya kurekebisha Tabia Miongoni mwa Wanawake wa Mashariki ya DRC akitaka kujua wanafanya nini kupunguza matukio hayo.