Kenya - Somalia

UNHRC yatoa wito wa msaada wa haraka Dadaab,Kaskazini mwa Kenya.

RFI

Shirika la Umoja wa Matifa linaloshughulika na wakimbizi duniani, UNHRC linatao wito kwa jamii ya kimatifa kutoa wito wa chakula kwa wakimbizi hasa wanatoroka kutoka nchini Somalia na kuelekea katika kambi ya wakimbizi ya dadaab nchini Kenya kutafuta hifadhi na chakula.

Matangazo ya kibiashara

Ukame umesabisha njaa katika mataifa ya Ethiopia, Kenya na Somalia na kusababisha idadi kuwa ya watu hasa watoto kupoteza maisha yao na halikadhalika kudhoofika kiafya.

Umoja wa mataifa unasema kuwa zaidi ya watu ,Milioni 10 kutoka mataifa ya pembe ya Afrika,wanakabiliwa na baa la njaa.

Antonio Guterres, mkurugenzi mkuu wa shirika la kushughulilia wakimbizi duniani amekuywa katika ziara katika mataifa hayo, na kuonya kuwa ikiwa hatua za dhahura hazitachuliwa hali itakuwa mbaya na kusabissha mauji zaidi ya binadamu,na ongezeko la maradufu kwa wakimbizi katika kambi ya Dadab kaskazini mwa Kenya.

Hata hivyo,mashirika mablimbali ya kutoa misaada imenza kujitokeza kutoa misaada kwa waathiriwa ikiwa ni pamoja viongozi wa kidini.

Kanisa la Life Giving Word Assembly kutoka Nigeria chini ya mchungaji Prince Nwaeze, yuko Afrika Mashariki kwa lengo la kupeleka misaada katika kambi hiyo ya Daadab na kuwasadia waathiriwa, na msaada wowote wa chakula au fedha unaweza kumfikia kwa kuwasiliana naye kwa anwani-princenwaeze@yahoo.co.uk au namba ya simu+234 708 720 3670, +234 803 821 6152. Au kama unaweza tumamchango wako kupitia idhaa ya kiswahili ya Radio France Internationale kwa kutuarifu tupigie +25522284966 au +25522286467, Email: rfkiswahili@gmail.com