Zoezi la kutafuta miili ya watu waliokwama katika jalai ya meli huko Zanzibar za kwama
Imechapishwa:
Zoezi la watalamu kutoka nchini Afrika Kusini na jeshi la Wananchi JWTZ kutafuta miili ya watu waliokwama kwenye meli ya MV Spice Islander iliyozama kwenye eneo la Nungwi nje kidogo ya mji wa Zanzibar, limekuwa likirudishwa njuma kutokana na hali mbaya ya hewa katika eneo la tukio,Mwandshi wetu Ebby Shaban Abdalaah anatarifa zaadi...