Pata taarifa kuu
Zambia

Zoezi la kuhesabu kura laendelea huko Zambia

Ujumbe kutoka: Ali Bilali
Dakika 2

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea na punde tutanza kuwaletea matokeo ya zoezi hilo viongozi wa Afrika hasa eneo la maziwa makuu wamepewa changamoto na waangalizi kutoka eneo la maziwa makuu kujitokeza kusaidia jamii zao na kuacha na makuu mwandishi wetu Edwin Ndeketela anatujuza zaidi kutoka zambia

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.