Uchguzi nchini Liberia

Sauti 11:28
Reuters/Luc Gnago

Wananchi nchi Liberia walipiga kura jana jumanne kumchaguwa rais wao. licha ya hali mbaya ya hali ya hewa ambapo mvua kubwa ilinyesha, wananchi walijitokeza kwa wingi kudiriki hatuwa hiyo muhimu kama inavyoagiza katiba ya nchi yao. Ellen Johnson Sirleaf rais wa sasa ni miongoni mwa wagombea. katika mjadala huo, tunauangalia uchaguzi huo