Mjadala wa Wiki

Uchaguzi wa Misri

Sauti 11:31

Wananchi wa Misri wamepiga kura kuchagua rais wa nchi hiyo baada ya utawala wa Rais Hosni Mubarak kuondoshwa madarakani. Je uchaguzi huo utakua na athari gani kwa mustakabali wa nchi ya Misri? Fuatalia makala haya ujue undani wa suala hilo.