Habari RFI-Ki

Fahamu mengi kuhusu kikosi cha umoja wa mataifa UN kinacholinda amani Mashariki mwa Congo MONUSCO

Sauti 09:49
Baadhi ya wanajeshi wa kikosi cha MONUSCO
Baadhi ya wanajeshi wa kikosi cha MONUSCO AFP / MARC HOFFER

Katika makala haya Sabina Chrispine Nabigambo anakufahamisha yaliyojitokeza kuhusu kikosi cha jeshi la kulinda amani nchini Congo MONUSCO kufuatia kauli ya mbunge wa serikali ya Congo kudai kuwa wanajeshi wa kikosi hicho wako nchini humo kufanya utalii.