Mahakama ya kimataifa ya ICC yaendelea kushinikiza kukamatwa kwa rais wa Sudan Omar Al Bashir
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:55
Mahakama ya Kimataifa ya ICC inataka baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusaidia kukamatwa kwa rais wa Sudan, Omar Al Bashir.Reuben Lukumbuka anachambua zaidi katika makala ya Habari Rafiki