Habari RFI-Ki

Viongozi wa kundi la waasi la LRA lawaajiri zaidi ya watoto 600 katika jeshi lake

Sauti 09:46

Viongozi wa kundi la waasi la Lords Resistance Army ( LRA) linaloendeleza shughuli zake katika misitu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini,waliwateka nyara watoto zaidi ya 600 kwa kipindi cha miaka 2 iliyopita na kuwaajiri katika jeshi, kulinga na ripoti ya Umoja wa Mataifa.Reuben Lukumbuka anaangazia zaidi katika makala ya Habari Rafiki