Kuvunjika kwa mazungumzo baina ya Sudani na jirani yake Sudani Kusini
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 13:45
Mjadala wa wiki, wiki hii tunajadili kuhusu kuvunjika kwa mazungumzo baina ya serikali za Sudani na Sudani Kusini. Wachambuzi wa maswala ya siasa Ojwang Agina kutoka Nairobi nchini Kenya na Robert Mkosamali wanajadili kwa kina hatuwa hii