Mjadala wa Wiki

Wananchi wa Misri na siasa baada ya uchaguzi

Sauti 12:45
REUTERS/Suhaib Salem/Files

Harakati za demokrasia nchini Misri zimeingia katika sura mpya baada ya uchaguzi ambao umefanikisha kupatikana kwa rais mpya, Mohamed Morsi na wananchi wa Misri wana matarajio makubwa kutoka kwa kiongozi huyo. Mjadala wa Wiki leo hii unaangazia hali ya mambo nchini Misri hasa baada ya uchaguzi uliofanyika baada ya kung'olewa kwa utawala wa Hosni Mubarak.