Usalama wa mazingira wakati wa uchimbaji wa madini

Sauti 09:46

Makala ya mazingira leo dunia yako kesho wiki hii,yanazungumzia usalama wa mazingira wakati wa uchimbaji wa madini barani Afrika.Ungana na Ebby Shaban Abdala kwa uchambuzi zaidi.