Mjadala wa Wiki

Hali bado tete Madascar

Sauti 12:40

Hali ya mambo nchini Madagascar bado ni tete huku jitihada mbalimbali zikiendelea ili kutuliza hali hiyo huku viongozi wakikutana kujadiliana kuhusu suala hilo. Mjadala wa Wiki le unaangazia nchi ya Madagascar na mustkabali wake.