Jumuiya za afrika zakabiliwa na changamoto

Sauti 09:19

Jumuiya za Afrika kama vile SADC, EAC, ECOWAS bado zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi.Makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii yanaendelea kuangazia changamoto hizo.