Habari RFI-Ki

Uganda yaadhimisha miaka 50 ya Uhuru

Sauti 09:57
RFI

Uganda ni nchi miongoni mwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na hivi karibuni iliadhimisha miaka 50 ya uhuru. Je mambo gani yaliyojiri na watu wa Afrika Mashariki wanasema nini kuhusu Uganda? Ndani ya Makala ya Habari Rafiki utajifunza mengi kuhusu miaka 50 ya uhuru wa Uganda.