Mjadala wa Wiki

Jitihada za kumaliza uasi Mashariki mwa DRC zaendelea

Sauti 11:49

Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC bado inakabiliwa na mgogoro kutokana na majeshi ya serikali na waasi wa M23 kuendelea na mapambano mashariki mwa nchi hiyo. Hata hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kutafuta suluhu ya kudumu ingawaje bado matunda hayajaonekana dhahiri.Mjadala wa Wiki hii leo unangazi hali ya mambo nchini DRC.