Muziki Ijumaa

Muziki Ijumaa yamulika muziki nchini Cameroon

Sauti 10:01

Makala ya Muziki ijumaa hii inaangazia muziki wenye asili ya Cameroon ambapo utapata burudani ya muziki kutoka nchini humo na hata kupata kumfahamu mmoja wa wanamuziki na shughuli zake za muziki ukiachilia mbali maisha ya mwanamuziki huyo.