Habari RFI-Ki

Ukatili wa kinjisia tatizo linalowaathiri zaidi wanawake

Sauti 09:53
RFI

Tatizola ukatili wa kijinsia linawagusa wanawake na wanaume katika nchi za Afrika Mashariki. Hata hivyo tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake ikilinganishwa na wanaume huku harakati mbalimbali zikifanyika kupiga vita ukatili huo. Makala ya Habari Rafiki leo hii inaangazia kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.