Wimbi la Siasa

Waasi wa M23 waendelea kujitoa katika mji wa Goma

Sauti 09:54

Kundi la Waasi la M23 ambalo linashikilia Mji wa Goma kwa karibu juma moja sasa limeendelea kuondoka katika Mji huo kutekeleza amri ambayo imetolewa na Viongozi wa Ukanda wa Maziwa Makuu ICGLR pamoja na Umoja wa Mataifa UN. Makala ya Wimbi la Siasa leo hii itaangazia kile kinachoendelea nchini DRC na hata kuweka bayana kilichojificha nyuma ya pazia.