Muziki Ijumaa

Mwanamuzi JB Mpiana mwanamuziki wa siku nyingi anayeendelea kung'ara

Sauti 10:31

Makala ya Muziki Ijumaa leo hii inaangazia muziki wa Afrika lakini itamzungumzia mwanamuziki nguli wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, JB Mpiana mwanamuziki ambaye amepata mafanikio makubwa katika sanaa ya muziki.