Matumizi yasiyo sahihi ya Kondomu ni hatari

Sauti 09:56
Habari Rafiki
Habari Rafiki © RFI

Kinga ni kitu muhimu kwa binadamu kukabiliana na masuala ya kiafya lakini kama ikitumiwa vibaya inaweza kuleta madhara. Hivi karibuni ilitolewa ripoti ikionyesha kuwa kuna idadi kubwa ya watu ambao hawajui matumizi sahihi ya kondomu. Pata undani wa mada hiyo ndani ya makalaya haya.