Wakongo wawakumbuka Kabila na Lumumba

Sauti 09:56

Makala ya Habari Rafiki leo hii inaangazi kumbukumbu ya viongozi wawili muhimu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao walikua ni vinara wa kutetea demokrasia na haki. Laurent Kabila na Patrice Lumumba wanakubukwa vipi na wananchi wa nchi hiyo makala haya yanachambua kwa undani kumbukumbu hiyo.