Mjadala wa Wiki

Mgogoro wa DRCongo

Sauti 13:40
Kikosi cha kulinda amani
Kikosi cha kulinda amani UNITED NATIONS

Nurdin Selemani na wageni wake Omar Kavota naibu mwenyekiti na msemaji wa mashirika ya kiraia mashariki mwa DRCongo pamoja na Francis Onditi, mchambuzi wa maswala ya Usalama kutoka Nairobi nchini Kenya wanajadili kuhusu hatuwa ya Baraza la Usalama ya Kupeleka Kikosi maalum mashariki mwa DRCongo.