Wimbi la Siasa

Umoja wa Mataifa wajipanga kupeleka jeshi maalum DRC

Imechapishwa:

Umoja wa Mataifa upo mbioni kupeleka kikosi maalum cha kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ili kukabiliana na uasi nchini humo hususani mashariki mwa nchi hiyo. Makala ya Wimbi la Siasa inaangazia hatua hiyo ya Umoja wa Mataifa ambayo inapingwa vikali na kundi la M23. Victor Robert Wile anakupa undani wa mada hiyo katika makala ya Wimbi la Siasa.

Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao?
Je, Waafrika wana ufahamu wowote kuhusiana na siasa za nchi zao? © RFI
Vipindi vingine