Kundi la waasi la M23 limeanza kukimbiwa na viongozi wake hali inayoashiria kuanza kudhoofika huku Umoja wa Mataifa ukijipanga kupeleka kikosi cha kimataifa kitakachojumuisha wanajeshi kutoka Tanzania, Malawi na Afrika Kusini. Je ni kwa nini waasi hao waanze kukimbia kikundi cha M23? Ungana na Edmond Lwangi katika makala haya ya Habari Rafiki..............