Muziki Ijumaa

Niboma mwanamuziki mahiri wa vionjo vya kiafrika

Sauti 09:46

Muziki wa kiafrika unaendelea kushika kasi na kupendwa na watu mbalimbali na wanamuziki wengi wa Afrika wanaendelea kutamba na muziki  huo na hata kuvuka mipaka ya Bara la Afrika. Mmoja wa wanamuziki ambao wamewahi kuutangaza vizuri muziki huo ni mwamuziki NIBOMA akiimba miondoko ya Lingala. Lizzy Masinga anamzungumzia kwa kina mwanamuziki huyo.