Afrika Ya Mashariki

Changamoto za kiusalama, kiuchumi na kijamii kwenye mpaka wa Bunagana

Sauti 09:35

Leo tunaangazia awamu ya tatu ya makala kuhusu nchi ya Uganda  hususani changamoto zinazopatikana kwenye mpaka wa Bunagana unaoziunganisha nchi za Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, Julian Rubavu amekuandalia mengi. Karibu