Habari RFI-Ki

Nguruwe wazua kizaa zaa jijini Nairobi

Sauti 10:00
Nguruwe wakiwa nje ya bunge la Kenya
Nguruwe wakiwa nje ya bunge la Kenya aljazeera.com

Katika makala haya leo tunakuletea kisa cha wanaharakati wa masuala ya kijamii kupeleka nguruwe nje ya bunge la Kenya wakiwafananisha wabunge na wanyama hao wala hovyo kufuatia  hatua ya wabunge kudai nyongeza ya mishahara, Fuatana na Ebby Shabani Abdalah kwa mengi zaidi.Karibu