Mjadala wa Wiki

Rajoelina agoma kung'atuka kwenye kinyang'anyiro cha urais Madagascar

Sauti 11:36

Kwenye mjadala hii leo tunaangazia hatua ya rais wa Madagascar Andry Rajoelina kugoma kujiondoa katika kinyang'anyiro cha urais nchini humo akikiuka hakikisho alilolitoa kwa viongozi wa Afrika kuhusu kutoshiriki uchaguzi huo uliopangwa kufanyika  mwezi July mwaka huu, kujadili suala hili Flora Mwano anashirikiana na Abdalah Majura na Bryan Wanyama wachambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Afrika Mashariki.Karibu