Habari RFI-Ki

Hali ya wananchi wa Goma yazidi kuwa mbaya

Sauti 10:07
Wananchi wa Goma ambao wameyakimbia makazi yao wakifurahia wakati wa ziara ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo, Ban Ki Moon
Wananchi wa Goma ambao wameyakimbia makazi yao wakifurahia wakati wa ziara ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo, Ban Ki Moon REUTERS/Jana Asenbrennerova

Mtangazaji wa makala haya hii leo ametazama hali ngumu inayowakabili wakimbizi wa vita mashariki mwa DRC. Na hii ni kulingana na ripoti iliyotolewa na mashirika ya kibiandamu mjini Goma.