Habari RFI-Ki

Mapinduzi ya Misri yatikisa dunia

Sauti 09:59

Rais wa Misri Mohamed Morsi amepinduliwa na jeshi baada ya kufanyika maandamano ya raia wakimtaka ang'oke kwa madai kuwa ameshindwa kutimiza matarajio yao na demokrasia kuyumba. Makala ya Habari Rafiki inaangazia mapinduzi hayo kwa kuwapa nafasi wasikilizaji kutoa maoni yao.