Wimbi la Siasa

Utawala wa Mohamed Morsi wapinduliwa Misri

Sauti 09:47

Umoja wa Afrika umeisimamisha Misri uanachama katika Umoja huo baad aya kutokea mapinduzi yaliyomwondoa rais wa Misri, Mohamed Morsi ambaye alidumu katika madaraka kwa mwaka mmoja.Umoja wa Afrika umesema hauyatambui mapinduzi hayo kwa sababu Morsi alichaguliwa kidemokrasia baada ya kuondolewa kwa rais wa zamani Hosni Mubarak. Makala ya Wimbi la Siasa leo hii inamulika kitendo cha kufanyika mapinduzi hayo na mustakabali wa baadaye wa siasa za Misri.