Kuapishwa kwa rais wa Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe

Sauti 09:55
Robert Mugabe akiapishwa Agosti 22, 2013 jijini Harare.
Robert Mugabe akiapishwa Agosti 22, 2013 jijini Harare. AFP PHOTO / ALEXANDER JOE

Rais wa Zimbabwe Comrade Robert Gabriel Mugabe ameapishwa kuchukua muhula mwingine wa 7 mfululizo katika sherehe za kihistoria ambazo zilishuhudiwa na baadhi ya viongozi wa Afrika huku akiyashutumu mataifa ya magharibi wakati wa hotuba yake.