Watoto na filamu za ngono

Sauti 09:58

Polisi nchini Afrika kusini wameendesha msako wa nchi nzima na kufanikiwa kuwakamata watu sita wanaodaiwa kuendesha mtandao wa kutengeneza na kuuza filamu za ngono zinazpwahusisha watoto wadogo. Ungana na Flora Mwano katika makala haya.....