Habari RFI-Ki

Viongozi wa Maziwa Makuu wakutana kujadili mgogoro wa Masharaiki mwa DRC

Sauti 09:48
RFI

Viongozi wa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, ICGLR wanakutana leo jijini Kampala nchini Uganda katika kikao cha dharura kujadili hali ya usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC. Makala ya Habari Rafiki leo hii inaangazia mkutano huo.