UGANDA - AMISOM
Jeshi la Uganda lawasimamisha kazi kwa muda wanajeshi wake 24 waliokuwa wakihudumu katika kikosi cha kulinda amani nchini Somalia
Jeshi la Uganda limewasimamisha kwa muda wanajeshi 24 waliokuwa wakihudumu huko Somalia katika kikosi cha kulinda amani chini ya muungano wa Amisom kwa tuhuma za kuuza mafuta na chakula. Uganda ndio nchi yenye idadi kubwa ya wanajeshi huko somalia, kutoka kampala mwanahabari wetu Tonny Singoro aliongea na msemaji wa jeshi hilo luteni kanali Paddy Ankunda kuhusu taarifa hii.....
Imechapishwa: