Habari RFI-Ki

Somalia yapewa msaada na Umoja wa ulaya wa Euro Bilioni 1.8

Sauti 10:09
Catherine Ashton na Hassan Cheikh Mohamoud, rais wa Somalia Septemba 16, 2013.
Catherine Ashton na Hassan Cheikh Mohamoud, rais wa Somalia Septemba 16, 2013. REUTERS/Yves Herman

Umoja wa Ulaya EU umeipa Somalia msaada ya Euro bilioni 1.8, kitita ambacho kitaisaidia taifa hilo kujikwamua kuondoka katika lindi la machafuko ya zaidi ya miaka ishirini na kufufua uchumi wake.